
KITABU CHA UJASILIAMALI-Jinsi ya kutengeneza bidhaa mbalimbali
Digital product - instant download after paymentBBMOS· GlobalTSh 3,000
In stock (15 available)
Description
Jifunze ujuzi wa kutengeneza bidhaa mbalimbali na kuanzisha biashara yako. Kitabu hiki kina maelekezo ya hatua kwa hatua kuhusu utengenezaji wa sabuni za maji na za kuogea, handwash, lotion na bidhaa za urembo, pamoja na mapishi ya keki, mikate, pilipili sauce, vinywaji na bidhaa nyingine. Pia utapata orodha za malighafi, mahitaji ya utengenezaji na mbinu mbalimbali za kujiajiri kupitia ujuzi uliojifunza.


